PART 3: ZARI KAELEZEA MATUMIZI YA WATOTO, KUMBLOCK BABA WATOTO WAKE “MOYO ULINIUMA”

Share
HTML-code

Comments • 2 578

 • Fatuma Yassin
  Fatuma Yassin  1 hours back

  wangapi wana mpenda zari mnaomba niwaone apa

  • Sophia Kimaro
   Sophia Kimaro  20 hours back

   Tunda mbona watwaja

   • Sarah Nyambaka
    Sarah Nyambaka  2 days back

    tanasha look at this brilliant women. take note

    • Aisha Omary
     Aisha Omary  2 days back

     maji hufata mkondo tusishangae jamaniiiiiiiii

     • Josiane Ingabire
      Josiane Ingabire  2 days back

      I love you Zari❤️😭

      • Beril Anyango
       Beril Anyango  2 days back

       I love you Zari....you are my role model

       • Ernest Meza
        Ernest Meza  2 days back

        Mwanamke mwenye Hakiri timamu zari the boss lady ulichemuka diamond

        • Winfaith Angie
         Winfaith Angie  3 days back

         Wanaume jameni😊😊😊,taking notes ladies 🔰

         • plister omondi
          plister omondi  3 days back

          hahahaha that statement at 10:11 just gave me life

          • irene sese
           irene sese  4 days back

           inatakiwa kusikiriza pande zote mbili nae zari hakufundwa alimwaga ugari chibu akamwaga mboga na vibakuri ndo maana akasema bado haujanisahau aibu aibu jaman bado anamtukana wakiitwa baba wa watoto nawe utasimama mwanamme aliyekuzalisha lakini si ulikua unamchela Hamisa?ukiona mwenzio kanyolewa nawe tia maji

           • Sherry shazala
            Sherry shazala  4 days back

            Thanks God you have healed from all this dramas ,a brilliant woman take care of ur kids acha kitombi mondi azidi kuangaika na ya dunia He will live to remember you.

            • Gikundiro Lily
             Gikundiro Lily  5 days back

             😅😅uyu kumbe bado yupo?

             • Diana Richard
              Diana Richard  6 days back

              Diamond is a raw punta

              • Kwamboka Motieri
               Kwamboka Motieri  1 weeks back

               Real woman diamond lost,tanasha can't handle diamond tuambiane ukweli

               • khadija Hamdoun
                khadija Hamdoun  1 weeks back

                Hats off to you Zari , you are a real mom . you are the mom every kid needs . thank you for a moms advice and lecture.

                • Bint Tsulu
                 Bint Tsulu  1 weeks back

                 mtajua nyinyi mnashiba nyama yenu siyataki

                 • grace karoki
                  grace karoki  1 weeks back

                  Mimi ujifunza mob sn aky frm Zari the Bosslady❤👌👌👌👌

                  • muna shabani
                   muna shabani  1 weeks back

                   Wewe zari n'a uyo daimond wote Amna akili Siri zinatolewa mitandaoni

                   • Wachu Ruo
                    Wachu Ruo  1 weeks back

                    This guy goes through a cycle he will never change, its a habit. And zari is the only one who could tame him down and he coudnt. Accept it. So zari be happy women learn,.

                    • Jenny flora Irakoze
                     Jenny flora Irakoze  1 weeks back

                     Na bado another girl is having another child! This guy is following his father's path I wish he can make peace with his father coz he is no different! Diamond is just a kid that grew up poor without a father role model, he can be rish bit will never be civilised! I don't understand how anyone can trust him to have a child! Btw I Believe Zari a million persent the guy is a liar I remember him on radio rejecting Hamissa pregnancy then she came with receits and amekimya😂😂. Ehat else to expect

                     • Ortance Ivonne
                      Ortance Ivonne  1 weeks back

                      Hahaha boss lady. Hakuna mwenye watamzika na hiyo vitu acha kujivuniya mali ya dunia

                      • Under varge
                       Under varge  1 weeks back

                       Kam unamkubal like hapo

                       • Jairani Selemani
                        Jairani Selemani  1 weeks back

                        Muongoooooooo😂😂😂

                        • Nyoni Nyonii
                         Nyoni Nyonii  1 weeks back

                         nimempenda huyu dada

                         • Seif khalifan
                          Seif khalifan  1 weeks back

                          Shida ya familia ya diamond kwanza ni waswahili pili hawakusoma kuanzia mama mpaka watoto..na sasa amekutana na wasomi.

                          • Seif khalifan
                           Seif khalifan  1 weeks back

                           Mama tee wangojea mini zi screen short plz.

                           • Joywyn Lusweti
                            Joywyn Lusweti  2 weeks back

                            Haha diamond umegundua huyu c hamisa mabeto ama wale makahaba umekuwa nao.......team zari for life😘😘😘......kama ww ni team zari naomba likes tafadhali😅😅😅

                            • Zena Madhan
                             Zena Madhan  4 days back

                             Zari pole dadaa umepitia mengi magumu

                           • Hassan Kakwamba
                            Hassan Kakwamba  2 weeks back

                            Duuh huyu mmama anajua kuongea point sometimes, ukiwa na mwanamke mwenye akili regardless of uzuri wake

                            • Jmdadila TV online
                             Jmdadila TV online  2 weeks back

                             but Hera inakufanya uendelea kuwa kijana if love zari drop ur comments

                             • Glory Mlay
                              Glory Mlay  2 weeks back

                              VIdox pole kwaku shika mic najua umechoka baba

                              • Khadija Mbuya
                               Khadija Mbuya  2 weeks back

                               Good blessings every time my love mma tiffa ❤

                               • Fauzia Nini
                                Fauzia Nini  2 weeks back

                                Strong and beautiful lady!!! Always he did not deserve you 💯😍

                                • Monica Sikanyika
                                 Monica Sikanyika  2 weeks back

                                 I don't care what people say...but i like things lady 😙😍

                                 • Rose Sandra
                                  Rose Sandra  2 weeks back

                                  I was blocked too zari. I thank God i brought my kids in the USA

                                  • Rose Sandra
                                   Rose Sandra  2 weeks back

                                   Mine does that my dear

                                   • George Manirakiza
                                    George Manirakiza  2 weeks back

                                    Pôle zari

                                    • Masika Mjita
                                     Masika Mjita  2 weeks back

                                     That's Tanzania man's tofauti na Uganda

                                     • keynan kenya
                                      keynan kenya  2 weeks back

                                      23:31 A BIG FAT LIRE

                                      • keynan kenya
                                       keynan kenya  2 weeks back

                                       from 254 , KAMA UMESIKILIZA ILE COVERSATION , ITS EMOTIONAL,

                                       • rose charles
                                        rose charles  2 weeks back

                                        nakupenda

                                        • Cynthia Awuor
                                         Cynthia Awuor  2 weeks back

                                         Zari just move on

                                         • Adeline Baroan
                                          Adeline Baroan  2 weeks back

                                          Tu construit et tu détruit.

                                          • Linda Moraa
                                           Linda Moraa  2 weeks back

                                           The overgrown baby never deserved Zari.He was just a big lesson which Tanasha never learned.Zari is just too much for that village boy.

                                           • Akiiki Christensen
                                            Akiiki Christensen  2 weeks back

                                            I hope all men’s 😡😡😡😡are listening 👂 now and..... You must Not try!!!!!! Be in your children’s n 👶 life for for sure

                                            • Nazma Abdul
                                             Nazma Abdul  2 weeks back

                                             Love u zar

                                             • Dennis Makatian
                                              Dennis Makatian  2 weeks back

                                              zari pole sana,usijali nimefeel pole

                                              • Nasir Labo
                                               Nasir Labo  2 weeks back

                                               Waiting for interview number two😊

                                               • Salama Shabani
                                                Salama Shabani  2 weeks back

                                                WE, BITUKINO USIILAZIMISHE AKILI YA NASEEB IKUE NA KUKOMAA KAMA YAKO, KUMBUKA NASEEB NI MDOGO SANA KWAKO NA BADO HAJAWAHI KUOA WALA KUPANGA CHUMBA AKAISHI NA MWANAMKE NDANI, SASA MAMBO MENGINE UNGEKUWA UNAMUELIMISHA TARATIBU KWASABABU WEWE ZARI NDIO UMEPENDA KUCHIT NA KUZAA NA KIJANA MDOGO ULIYEMZIDI UMRI KARIBIA MARA MBILI YAKE, NASEEB NIMDOGO SANA KWAKO SO USIMKAZIMISHE AWE KAMA WEWE ULIYELIONA JUA KABLA HATA MAMA NASEEE HAJAOLEWA NA KUZAA, NANDIO MAANA INAPENDEZA SANA MWANAMKE KUOLEWA NA MUME MWENYE UMRI MKUBWA ILI HUYO MUME AMUONGOZE VYEMA MKE AU MPENZI WAKE KWASABABU YEYE NAMWANAUME ANAKUWA AMESHAKOMAA KIAKILI NA AMEKUTANA NA MENGI, SASA WEWE ZARI UMETAKA MWENYEWE KURUBUNIWA NA UKARUBUNIKA NA KIJANA MDOGO AMBAYE BADO ANATEGEMEA MALEZI NA MAWAZO YA MAMA YAKE ULITEGEMEA NINI??? NASEEB BADO ANAHITAJI MALEZI SIO YEYE AWEZE KUKULEA WEWE NA WATOTO WAKO WAKUBWA KIASI HICHO USIMKOMAZE MTOTO WA MWENZIO KWA KUMLAZIMISHA AFANYE MAJUKUMU MAKUBWA KULIKO UWEZO WA AKILI NA UMRI WAKE, WANAWAKE TUJIFUNZE NATUZIZUIE TAMAA ZA MIILI YETU KWA VIJANA WADOGO MWISHO WAKE NI KUJIDHALILISHA TU